
Mchezaji wa mchezo wa pool table. Mussa Linga akipata picha na kikombe alichokinyakua hivi karibuni baada ya kuwa bingwa wa jumla wa mchezo huo katika fainali zilizoxhezewa Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Mussa Linga katika picha na mwanae.
1 comment:
Hongera mkuu linga , tupo pamoja , tutaharifu siku nyingine tujekukushangilia
Post a Comment