Leo tarehe tano November ni siku ya birth day ya mtoto wa Kenny, mjunguu wangu Kilian au Mzungu anavyoitwa na wengi. Ninakutakia heri na furaha, maisha mazuri na mafanikio shuleni.
Nakupenda sana, nakumiss sana, kila siku nakukumbuka wewe na mdogo wako Mariam mkiniita bibi wa marekani, na mkiwa mnasemesha babu yenu Kiswahili nae akijaribu kuongea nanyi na kufurahi nanyi. Zawadi zenu za birthday nimeshazituma, mtazipata baada ya wiki mbili. Msalimieni baba yenu -baba Hery, baba mkubwa Kilian, baba mkubwa Musa, shangazi yenu Sizelina, na babu na bibi John Kamota, Majabu Kamota na Rehema. Kamota Korogwe, Tanga
.jpg)
No comments:
Post a Comment