ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 17, 2014

BUNDI WA AJALI TANZANIA BADO AENDELEA KULIA

Basi la Sai Baba Express limepata ajali eneo la Pingo, Chalinze leo asubuhi baada ya kutaka kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na kupelekea basi hilo kupinduka. Basi hilo lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani Mbeya. kwa taarifa za mapema zinasema kuwa hakuna mtu aliyefariki katika ajali hiyo

No comments: