Advertisements

Saturday, November 29, 2014

DJ SEIF ANAWAALIKA KWENYE BIRTHDAY YAKE JUMAMOSI HII SAFARI CLUB

 Dj Seif kotoka Maryland, USA
Dj Seif anawaalika wadau wote siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 kwenye Bash ya siku yake ya kuzaliwa itakayofanyika Safari Club kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajiri

Kufika kwako ndio kufanikisha Bash hii itakayokufanya kumalizia wiki ya Thanksgiving kwa bash la nguvu ndani ya kiota kinachoongoza Afrika mashariki kilichopo Washington, DC anuani ni 4306 Georgia Av, NW, Washington, DC 20011

KARIBUNI

No comments: