Advertisements

Tuesday, November 18, 2014

FLASHBACK

Lemmy Mhando (kushotoa) na Dedi Luba enzi zao walipokua na nywele kama wanavyoonekana kwenye picha juu. Chini wanavyoonekana sasa hizi na mara nyingi wanapokutana kwenye mijumuiko hujikuta wakikaa karibu. Lemmy na Dedi ni wakaazi wa jimbo la Maryland nchini Marekani.

No comments: