Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto mkoani Manyara leo Jumanne Novemba 18, 2014. IGP ametua wilayani humo kufuatilia yeye mwenyewe migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo vya wananchi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyosababisha kutokea kwa vifo.kushoto ni Afisa tarafa wa Matui Bw.Eliakimu Ndelekwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mtendaji wa Kijiji cha Chekanao, Kata ya Kiperesa, Wilayani Kiteto Omar Ndee (kulia) wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo.Katikati ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimike pamoja na Mwenyekiti wa Kijiji hicho Japhet Chafu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo




No comments:
Post a Comment