ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 4, 2014

KAIMU MKURUGENZI WA TPDC NA MWENYEKITI WAKE WA BODI WATOLEWA RUMANDE



Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Michael Mwanda waachiwa wakisubili uamuzi wa kamati ya mahesabu ya Bunge baada ya kuwekwa rumande siku ya jana kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC, kamati iliagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

No comments: