Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa pili kulia) akiteta jambo na Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(kulia) baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone - Bagamoyo.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza(kulia) akimuongoza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(kushoto) alipowasili kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza
Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(wa kwanza kushoto) akifuatilia kwa Makini Majadiliano ya maoni kuhusu maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone - Bagamoyo. Wengine kulia ni Viongozi Wastafu wa Jeshio la Magereza.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawaki(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki Wadau wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone - Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment