
Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.

Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio

Namna gari la abilia lilivyoalibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scania


Gari hilo likiwa limepasuka vioo vyote na kuharibika sehemu ya mbele pamoja na kutoka kwakioo chake cha mbele

Mwonekano wa daladala kwa upande.

Wasamalia wema wakijaribu kutoa msaada wa kuwaokoa majeruhi.

Baadhi ya majeruhi wakiwa wametapakaza damu katika maeneo haya ya ajali

Viti vya daladala vikiwa vimeng'oka na kusambaa nje ya maeneo ya barabarani

Katika ajali hiyo hakuna abiria ayepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria wamejeruhiwa tu.

Ajali hii imetokea mda huu maeneo ya Tabata Matumbi.
No comments:
Post a Comment