Kwa kutumia ukurasa huo, mtu huyo amekuwa akiandika masuala kadhaa kuhusiana na suala hilo la escrow account na kile kinachoendelea bungeni, ikionekana kama ni kauli ya Mh Lowassa.
Tunawaomba wananchi kupuuza yote yanayoandikwa katika ukurasa huo.Watanzania tuachane na tabia ya matumizi ya mitandao ya kijamii kupotosha umma,tutumie mitandao hiyo kwa kuhamasisha maendeleo,amani, umoja na mshikamano kwa taifa letu.
Imetolewa na ofisi ya
Mh Edward Ngoyai Lowassa(Mbunge)
2 comments:
Mbona Hakanushi kuiba Mihela, na bado wabongo wanataka kumpa nchi..MATATIZO TZ...
wewe acha madongo kua na heshima hata kama ali iba sio kama hizo zilizo chotwa halafu Muheshimiwa huyu anatao, Makanisani na Misikitini ila ubaya Makanisani wale wakuu wa dini wame tuangusha
Post a Comment