ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 10, 2014

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM MBONI MHITA ATINGA WASHINGTON, DC, KUKUTANA NA WANACHAMA WA CCM JUMAMOSI DMV

Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi La Washington DC Virginia na Maryland Bi Salima Moshi akiwa na  Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mjumbe wa NEC CCM Taifa Chairperson for young Leader in Africa Mh Mboni Mhita siku ya Jumapili Novemba 9, 2014 walipokutana jijini Washington, DC kwa mazungumuzo, Mh Mboni Mhita atakutana na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi siku ya JumamosiNov 15 saa 11jioni address 1801 saint george way Bowie 20721 tunaomba wote kuhudhuria

7 comments:

Anonymous said...

KUNA MAMBO MENGI YA KUFANYA KULIKO HAYA MAMBO YA KUFUNGUAFUNGUA MATAWI YA CCM/CHADEMA. WANA-DIASPORA TUNATAKIWA KUFANYA MAMBO YA KUENDELEZA MAISHA YETU KULIKO KUNG'ANG'ANIA ITIKADI ZA KI-CCM/ CHADEMA. TUNGEWEZA KUPEANA DEAL ZA JINSI YA KUPATA KAZI NZURI ZA MAANA NA DEAL NYINGINE MUHIMU KULIKO KUFANYA MAMBO YA VYAMA VYA NYUMBANI......MASHINA YA CCM YA NINI HAPA MAREKANI? NI KUJIPOTEZEA MUDA.

Anonymous said...

WE MNYWANYWA VIPI? Kama hujui that's where the money is. Join the party kabla haujachelewa.

Anonymous said...

Umenena hilo neno ndugu yangu

Anonymous said...

Nakusaupport sana hapo juu, uliyosema ni kweli ni ujinga wa wale wachache wanaotaka kutengeneza CV zao ili waende Tanzania kuwania uongozi sehemu mbalimbali za chama ndio wanatumia migongo ya wale wachache wasio fikiria.

Na pia ni kuengeza kugawana kimakundi. Tuko nchi za watu mambo ya vyama yaachwe huko Tanzania huku tusimame kama watanzania. Divide and concur wameshajua nguvu ya kuwamaliza ipo nje ya nchi ndio maana wanataka kutugawanya sana. Hao wanachama wa CCm wasio raia wa Tanzania wanasadia nini chama kama sio kutuliza kelele zao kwenye social network?

Tufundishane jinsi ya kutumia opportunities ziliopo na sio kukaa kaa kwenye mikutano ya vyama. Na toka haya mashina yameazishwa huko London yameshasaidiahe watanzania?

Anonymous said...

Huu niupuuzi mtupu ccm itakusaidia nn

Anonymous said...

I agree with mdau above. I have no idea what these branches are doing in America. To me it is a waste of time and resources.

Anonymous said...

Hayo ni mawazo yenu kila mmoja ana fikra zake na anaamua nini cha kufanya, sioni kama kuna tatizo mtu akiwa mwanachama wa chama chochote.
Kwanza inasaidia kwa kutangaza nchi yetu na kujivunia kuwa Mtanzania, nawapeni hongera watanzania wote mliyoamua kufungua matawi ya vyama nichi za nje haijalishi iwe ni CCM au CHAFEMA.

Kuna baadhi ya watu hawapendi maendeleo ya watu, tupendane disi wote ni watanzania na tuwe na umoja tusifikirie mambo yasiyo na maendeleo.

WATANZANIA: UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU.