Advertisements

Saturday, November 15, 2014

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM MBONI MHITA KUKUTANA NA WANACHAMA WA CCM LEO JUMAMOSI DMV ANUANI YA MKUTANO IMEBADILIKA


Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi La Washington DC Virginia na Maryland Bi Salima Moshi akiwa na  Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mjumbe wa NEC CCM Taifa Chairperson for young Leader in Africa Mh Mboni Mhita siku ya Jumapili Novemba 9, 2014 walipokutana jijini Washington, DC kwa mazungumuzo, Mh Mboni Mhita atakutana na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi leo JumamosiNov 15 saa 11jioni address 3636 16th S NW Apt B 729, Washington, DC 20010 tunaomba wote kuhudhuria

Mh Paul Makonda Katibu Hamasa na Chipukizi UvCCM TAIFA na MBUNGE WA BUNGE LA KATIBA Atajibu maswali mbalimbali yatakayoulizwa na kuongea na wanachama kwenye Mkutano utakao hutubiwa na Mh Mboni Mhita Makamo MWENYEKITI UVCCM TAIFA na MJUMBE WANEC TAIFA , Katibu Mwenezi amewaomba kujitokeza kwa wingi Kumsikiliza Mh Mboni Mhita Ni Fursa pekee Na Kupata Nafasi pekee kumuuliza 

No comments: