Advertisements

Saturday, November 15, 2014

CHAMA CHA MAPINDUZI .DMV MAREKANI SALAAM ZA POLE


MH Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania na Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mapinduzi Tunakupa pole na tunakutakia afya njema Mwenye Enzi MUNGU akuponye haraka uzidi kulitumikia Taifa letu la Tanzania Mpendwa Rais wetu tunakuombea upate Nguvu haraka na urudi Nyumbania Salama Watanzania tunakusubiri
WaTanzania wote wanachama wote wa CCM Wana DMV Marekani wanachama Wote wa CCM Marekan Tupo pamoja nawe kwenye kipindi hiki cha Matibabu yako Ahasante

2 comments:

Anonymous said...

Ni sawa kumpa pole Mh. Rais, lakini pia lazima tumuambie kwamba tabia ya viongozi wetu kutafuta matibabu nje ya nchi ndiyo chanzo kikubwa cha wao kutokufanya juhudi kubwa ya kuboresha huduma ya hospitali zetu kule nyumbani. Kusema kweli, kama Rais wa America au Waziri Mkuu wa Uingereza angefanya kama wanavyofanya viongozi wetu wa nchi za kiafrika, angekumbwa na kashifa kubwa sana kiasi cha kutakiwa aachie ngazi.

Anonymous said...

umezima comment yangu siyo haina noma but kama blog nia ya kuelimish na kama wewe unauchungu na nchi yako basi comment zinginewe uwe unaziweka hata kama zinakuwaka moto moyoni. nchi inangamia dawa hakuna muhimbili,vitendea kazi hakuna wananchi wakishinddwa kugharimia wanakwenda kwa waganga wa kiinyeji je wewe unaona sawa hivyo unazipana comment zetu.
leo uko marekani unaweza kuonana na mkuu ungekuwa nyumbani ungeweza kuwa na jeuri hiyo.kwanini umeondoka nyumbani kama ni raha sana.

acha hizo kutubania comment zetu.
waku waanakuja kutibiwa nje wazawa wana kufa muhimbili hakuna dawa.

kuwa mzalendo na nchi yako si kupakata ujinga kwa pesa za kuyafunika maovuu.

na hii basi itupe kapuni