Advertisements

Thursday, November 27, 2014

HII NDIO REKODI YA MCHEZAJI EMERSON ANAYEFANYA MAJARIBIO YANGA

 
Huyu ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo.



Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.

Habari kwa hisani ya Father Kidevu.

1 comment:

Anonymous said...

Mbona Ana goli moja kama kacheza 0 minutes?