Kirimia Kilenga ni Mtanzania anaeshiriki mashindano ya New York Marathon na kufanikisha kumaliza mbio hizo ndefu na kisha kujipatia medal ya ushirikia,
Kirimia mwenye makazi yake katika jiji la New York alifanikisha
kumaliza mbio hizo zilizoshirikisha watu zaidi ya Mil 50. NYC Marathon
ni maarufu duniani zinazofanyika kila mwaka katika jiji la New York
kupitia miji tano ya ndani miji hiyo ujulikanayo kama 5 boroughs ambayo
ni Brooklyn, Bronx, Queens, Manhattan, na Staten Island huku
ikiwashirikisha wakimbiaji kutoka duniani kote. Wilson Kipsang kutoka Kenya ndiyo aliibuka mshindi kwa kutumia saa 2 dakika 10 na
sekunde 59. Na kwa upande wa wanawake ni Mary Keitany kutoka Kenya pia
aliibuka mshindi.
|
Hii ndiyo Medal kwa picha zaidi nenda soma zaidi. |
Wilson akimaliza mbio hizo na kuibuka mshindi wa kwanza kwa wanaume kwa kutumia saa 2.10,59
|
Mary kwa upande wa wanawake aliwaburuza na kuibuka mshindi wa kwanza. |
4 comments:
Ni 50,000 nadhani, sio 50mil!
Sasa Tanganyika ana maana gani?
Yessir! Representing Tanganyika for once! Big Up my man!
I love this.....#Tanganyika. Mission accomplish. Kila kona unaona Zanzibar hiki Zanzibar kile na sisi tunatakiwa kuwa proud na nchi yetu.
Post a Comment