ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 2, 2014

MwanaFA atembelea yatima kabla ya shoo "Vodacom Life is better" Tanga

Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania, Mwanamuziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva MwanaFA akipiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi pamoja na mshindi wa wa simu ya Vodafone Smart Kika Martin Joseph wa mjini Tanga mara alipotembelea duka la Vodacom Tanzania lililopo barabara ya tatu jiji Tanga hapo Jana ambapo baadae shoo kali ya kukata na shoka ya''Vodacom Life is Better'iliyofanyika katika ukumbi wa Lacasachika hapo jana.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva Mwana FA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa duka la Vodacom Tanzania barabara ya tatu mjini Tanga alipotembelea duka hilo na baadae akafanya shoo yake ya "Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana.

No comments: