Advertisements

Monday, November 17, 2014

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AHUTUBIA MANG’ULA MKOANI MOROGORO

Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisndikizwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.

No comments: