Advertisements

Sunday, November 23, 2014

NAPE: WALIOHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW WABEBE MSALABA WAO WENYEWE


2 comments:

Anonymous said...

Ukweli haufichiki, hili sio swala la kukwepa ndg NAPE! Huu ndio ulezi wa chama cha mapinduzi CCM imelwa wengi sana ambapo uchumi wa nchi umedidimia! Kwani Mhe.aliyekuwa waziri mkuu mnayemwita mstaafu baada ya kusaini mkataba hewa ungelikuwa wa kweli tungelikuwa kwenye matatizo ya umeme kiasi hiki? Na sasa isitoshe anakja na sera ya kuifanya Tanzania kuwa ya neema!! kwa kitu gani kipya?/ Viongozi baadhi katika CCM sisemi wote! wanatakiwa kuondoka jamani na mnawajua fika kwanini mnawaacha kimya wanaendelea kuipukuta Nchi??

Anonymous said...

Wafungwe hao, wanamuabisha Raisi, Jakaya is a very genuine guy but watendaji wake - wanasikitisha. Jamani hivi hela za umma haziheshimiwi kabisa, wanazoa tu. hawa watu wafilisiwe.

So huyu mbunge kijana wa Kigama was right all the way, nia yao ilikuwas kumfumba mdomo.