Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof John Nkoma akijibu maswali ya wanablog wakati wa Mkutano na bloggers juu ya kuelimishwa juu ya sheria za uchaguzi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof John Nkoma akizungumza na wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blogs) wakati wa warsha kwa bloggers ambao umefanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Bw Assah Mwambene akichangia mada wakati wa mkutano wa bloggers ulioandaliwa na mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City.
Baadhi ya Wamiliki wa Blogs wakifuatilia Mazungumzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA (hayupo Pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha ya Mkutano iliyoandaliwa na mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa Bloggers.
Injinia Kasaka Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wamiliki wa blogs
Baadhi ya wamiliki wa blogs wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Mmiliki wa Blog ya Mdimuz Blog, Bw Henry Mdimu akichangia mada wakati wa mkutano wa bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwaajili ya kutoa elimu juu ya Sheria za Uchaguzi.
Mmiliki wa Blog ya 8020 fashion, Bi Shamim Mwasha akiuliza swali wakati wa mkutano wa bloggers uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city, Mkutano huo umeandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ukiwa na lengo la kutoa elimu kwa bloggers juu ya Sheria za Uchaguzi Nchini.
Francis Godwin Kutoka Iringa akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Wamiliki wa Blogs wakiendelea kufuatilia Mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.Picha Zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment