ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 21, 2014

UMATI MKUBWA WAMZIKA MAMA YAKE MZAZI KHAMIS MGEJA


 baadhi ya umati wa kinamama waliofika nyumba kwa kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga baada ya kupata msiba wa kufiwa na mama yake mzazi  marehemu  bibi Halima Nchimika.


 Mwenye shati la kijani ni  mh mbunge wa kishapu serelemani nchambi  akiwa mchanga katika kaburi la mama yake mzazi marehemu bibi halima nchamika katika makabuli ya uwindini mjini kahama .
 Waziri mkuu mstafu Edward lowasa  akisalimiana na mama yake mzazi bibi halima nchimika wakati wa uhai wake mjini kahama wakati waziri huyo alipofanya ziara wilayani kahama mwaka huu .
  mwenye shati jeupe na tai ni waziri mkuu mstaafu Edward lowasa akiwa na mama mzazi khamisi  mgeja kati ni marehema bibi halima nchimika wakati wa uhai wake .
 
Mama mzazi  marehemu halima nchimika wakati mwenye khaga kichwani  wakati wa uhai wake akiwa na waziri mkuu mstafu Edward lowasa nyumba kwa  mwenyekiti wa ccm khamis mgeja mjini kahama .
kwa picha zaid bofya soma zaidi
 katibu wa wazazi mstafu  mwenye koti na kofia na mwenyekiti wa ccm mstafu Edward musoma mwenye kibagarashia na gazeti mkononi wakiwa nyumbani kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga khamis mgeja wakati wa msiba wa mama yake mzazi .
  mh mbuge wa wazamani wa wilaya ya meatu salumu mbuzi akisalimiana na baadhi ya wananchi walifika nyumbani kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga baadha ya kufiwa na mama yake mzazi mjini kahama .,
 Mkamanda wa polisi mkoa wa shinyanga justus kamugisha akibadilisha maneno na moja watu marufuu mjini kahama mathew miliki wa shule ya kwema mjini kahama mwenye shuti ya blue wakati wa mazishi ya mama yake khamis mgeja .
 Baadhi ya kina mama walifika nyumba kwa mwenyekiti wa ccm khamis mgeja nyumbani kwake kwa ajili ya mazishi ya mama yake mzazi halima nchimika
moja  watumishi wa halmashauri ya ushetu  walifika kumpa mkono wa pole mh khamis mgeja baada ya kufiwa na mama yake mzazi .
 mwenyekiti wa chadema wilaya ya kahama mwenye gazeti juu ya mfuko wa shati juma  prostas  kati ni nguno na kushoto mwenye kofia ni sebastine  moja wa wajumbe wa chadema wilyani kahama .
  RPC  mstafu  wa jeshi la polisi Jamal Raibow akibadilishana mawanzo na mfanyabishara marufuu wa jiji mwanza
 mwenyekiti wa ccm mkoa wa singida mgada msidah akimpa pole khamis mgeja baada ya kufiwa na mzazi wake .


 Mwenyekiti wa  chadema juma prosta akimpa mkono wa pole khami mgeja nyumbani kwake kwa kufiwa na mama yake mzazi .
 Mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga khamis mgeja akitoa shukurani kwa watu wote waliofika nyumbani kwake kumfariji baada ya mazishi ya mama yake mzazi Halima nchimika .
 Mh mbuge wa msalala ezekiel maige na mbuge wa kishapu selemani nchambi mwenye shati la kijani wakiwa katika kumbadilisha mawanzo juu ya hali ya msiba wa mama yake khamis mgeja ambapo ezekiel maige ni mwenyekiti wa wambuge wa mkoa wa shinyanga .
 Mh  naibu  waziri  wa nishati  na madini masele akimpa pole mwenyekiti wa ccm khamis mgeja  mwenye kibagarashia kichwani kwa kumpa pole ya kufiwa na mama yake mzazi .
 Mh mgada msidah pole sana kaka hayo ni maneno yake mh huyo kwa khamis mgeja baada ya kufika nyumbani kwake kwa ajili ya maziko .
 Hivi ndiyo hali ilivyokuwa mh jemes lembeli mbuge wa kahama akimkumbati khamis mgeja nyumbani kwake baada ya kufika nyumbani kwa ajili ya mazishi mjini kahama .
 Mh jemes lembeli akitoa salamu za pole kwa mh khamis mgeja nyumbani kwake baada ya kumaliza mazishi ..

 Mh selemani nchambi mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya mama yake mzazi nyumbani akitoa maelenzo juu ya ratiba ya mazshi hayo nyumbani kwa mh khamis mgeja .
 Mwenyekiti wa wambuge wa mkoa wa shinyanga Ezekiel maige akitoa shukrani kwa watu wote walifika kumfarji khamis mgeja baada ya kumaliza mazishi .
 Mh jemes lembeli akiwa na baadhi ya watu mbali mbali kwenye mazishi ya mama yake khamis mgeja .
 Mh naibu waziri wa nishati na madini masele akitoa salamu toka kwa mh rais jakaya mrisho kikwete .
 Mh diwani wa nyasubi kwa tiketi ya chadema wakimpa pole  jemes lembeli kwa niamba ya madiwa wa kata hiyo kwenye msiba wa mama yake khamis mgeja nyumbani kwake nyasubi mjini kahama .

 Baadhi ya viongozi mbali mbali wa vyama na tasisi mbalimbali za serikali  na mwenye miwani ni naibu waziri wa madini na nishati masele kati  ni mh mganda msidah mwenye suti ya blue.
 Hivi ndiyo ilikuwa safari ya mwisho ya bibi yetu Halima nchimika katika mazishi yake mjini kahama katika makaburi ya uwindini .
 Mwenye koleo ni mkuu wa mkoa wa shinyanga Ally Nassor Rufunga akiweka mchanga mwisho kwenye kaburi la bibi Halima nchimika .
 Mh Meya manispaa ya shinyanga  akiweka mchanga katika kaburi la bibi halima nchamika
 mkuu wa mkoa wa shinyanga kulia ally nassor rufunga na kushoto ni mkuu wa wilaya ya kahama  benson mpesya wakati wa mazishi ya mama yake khamis mgeja mwenyekiti wa mkoa wa shinyanga .
 Alisheka mkono ni mwenyekiti wa ccm khamis wakati wa kuomba dua
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga khamis mgeja akiweka mchanga wa mwisho kwenye kaburi la mama yake mzazi halima nchamika 





mami ya watu kutoka ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga wamejitokeza kumzika(Bibi Halima Nchimika amezaliwa mwaka 1940) mama mzazi wa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja.Mazishi yamefanyika katika makaburi ya Uhindini mjini Kahama.Wakati mwili wa marehemu ukitolewa nyumbani mvua ilianza kunyesha muda mfupi ikakatika kabla ya kufikishwa msikitini,baada ya hapo msafara ulielekea makaburini,mazishi yakaendelea,lakini wakati yakielekea mwisho mvua ikanyesha na kusindikiza msafara hadi nyumbani. Mohab Matukio

1 comment:

Anonymous said...

rekebisheni si kufagilia tu rekebisheni el haja staafu alilazimishwa ajiuzulu.acheni kufagilia kila siku