ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 24, 2014

Usikose Ibada ya Kiswahili (IYK), Maalum ya Mavuno 2014 - Columbus, Ohio (Mch. Ipyana Mwakabonga) - Jumamosi Novemba 29, 2014 Kuanzia saa 3:30pm (EST)

  SIFA Voices Group - Ohio itatubariki kwa nyimbo mbali mbali
* Mwimbaji Fay Destiny atatubariki na nyimbo
 * Tembelea tovuti ya IYK-Columbus kwa www.iykcolumbus.org

No comments: