Advertisements

Monday, November 17, 2014

USO KWA USO NA ALIYEKUWA MMILIKI WA KIOTA CHA MARAHA MILLENIUM JIJINI LOS ANGELES, CA

Chief Bongam akiwa kwenye ukodak na aliyekuwa Partner wake enzi za Millenium Lounge & Restaurant Bwana Peter Ligate
Chief Bongam akiwa kwenye ukodak na Bwana na Bibi Ligate alipozuru Los Angeles Kibiashara ndani ya Kiota cha Maraha ya Jazz kiitwacho LA Louisanne
Chief Bongam Enzi za Millenium Nyuma ya Counter na Mteja
Millenium Lounge & Restaurant Ilijulikana sana kwa Chakula Kizuri cha Kitanzania Chini ya Usimamizi wa Chef Shabani na Abdul aka Dogo Bila ya kusahau Usimamizi wa Karibu wa Manager  Cane Mwihava
Millenium Lounge & Restaurant Ilijulikana Pia kwa kutoa Burudani ya Muziki kila Weekend ambapo Watanzania wengi na Waafrika kwa ujumla walikuwa wakila bata kila Weekend. Baadhi ya Party Mashuhuru zilizowahi kufanyika pale ni pamoja na Addictive Sundays, Ice Black Magic, Mitindo Nite 1, na nyingine nyingi