Cristiano Ronaldo akiwa kwenye mavazi ya kiislam akipiga picha na mashabiki huko Dubai.
Mchezaji nyota wa mpira wa miguu anaeichezea timu kubwa tajiri duniani Real Madrid alionekana na kupigwa picha na mapaparazi kwenye matembezi yake binafsi Dubai akiwa amevalia mavazi ya Kiislam na yaliompendeza sana.
Cristiano Ronaldo ambaye yeye si Muislam lakini alipendezwa na uvaaji huo kwani alisema aliona watu wengi waishio Dubai ndio vazi lao kuu na kwanini yeye asiwe miongoni mwa waliovaa vazi hilo. Pia hakuwahi kuvaa vazi la dini hiyo alionelea avae kwa ishara ya kuiheshimu dini hiyo na kuona sio kitu kibaya kuwa miongoni kwao kimavazi.
Cristiano Ronaldo akiwa kwenye vazi jingine la kiislamu huko Dubai
Mchezaji huyo alikuwa Dubai wiki iliyopita kwenye mapumziko yake binafsi mbali na shughuli za kimpira. Alienda kutembea huko kabla ya wiki ya sikukuu za christimas. Alionekana ni mwenye kufurahishwa na mandhali ya mji huo pia utamaduni wao wa chakula pia kimavazi ndio mana nae alipendezwa kuvaa kama wao.
Vazi lingine alilovaa mchezaji Cristiano Ronaldo akiwa kwenye matembezi yake binafsi Dubai.
Mchezaji huyo alikaa Dubai kwa siku nne wiki ilopita na baadae aliondoka kurejea Hispania ambapo alijiunga na wachezaji wenzake kwenye kambi ya maandalizi ya mechi zilizoendelea katika ligi ya ichi hiyo amakochezea.
9 comments:
chezea waraabu wa kiislamu wewe.wana pesa si mchezo.waislamu hapana chezea chezea utavaa kanzu utake usitake si tunawaona wakuu wetu wa nchi wakivaa mavazi ya kiislamu wanapokuwepo huko.
Nadhani ni mavazi ya kiarabu , sio ya kiislamu . Waarabu wanavaa hivyo kama utamaduni ,sio dini.
Ndio maana huko arabuni kanzu inavaliwa hata ktk madanguro na vilabu vya pombe na anasa zingine . Kwa kuwa si vazi la dini .
Huyo aliyetoa mada kwanza hapo juu ni wale wale wa kudandia vitu bila kujuwa. Nani aliyesema kuwa kanzu ni vazi la kiislam? Kanzu huvaliwa na waarab kama kina Mama hapa Tanzania kuvaa khanga kila sehemu. Uarabuni hata makahaba uvaa buibui na wanaume wasenge wanavaa kanzu kwani ndiyo mavazi yao na wala hayana udini wowote.
kimekuchomeni eeeh?kazu vazi la kiislamu sema nyinyi wagalatia ndo mmekuja kulichafua vazi hili na tabia zenu tafu za usenge na udanguro wenu.
yesu alivya kanzu na nyinyi leo hii hamtaki kuvaa kanzu kwa nini?
dini ya kweli ni ya kiislamu na yesu ni muislamu ndo maana jamaa hawa wanafuata mila ya kuvaa kanzu;yesu alivyaa kanzu migalatia mtakufa na choyo chenu cha roho mwaka huu.Dunia inakusuteni na akija bwana yesu atakukaneni.Alikuwa kwa mataifa 12 pekee na ugalatia hamumo katika hayo mataifa 2.
chezea uislamu wewe.mtavaa kanzu mkitaka msitake mwaka huu.
Yesu kavaa kanzu wewe unaye vaa suti unamfuata nani?
wewe nani kakuambia uarabuni kuna madanguro unadhani Vatican huko kwa kunajisi watoto wadogo?
umekosea sana kusema kaanzu ni vazi la kiiarabu kwa sababu kuna waarabu wakiristo pia unadhani hatujui hilo.
vazi la kanzu ni la kiislamu na si la kiiarabu,yesu kavaa na ni muislamu utake usitake na mama maria kavaa vazi la heshima si mini skirt or dress utake usitake hakuna mjadala.
KANZU VAZI LA KIISLAMU.
Acheni ufala nyie, aliewaambia kanzu vazi la kiislam nani tatizo nyie mlioiga Toka Kwa waarabu acheni unazi wa kukashifu dini ya mwenzio na kuiona yako safi na haki Mungu ni mmoja
Tatizo la hawa jamaa zetu ni kukariri vitu na kuongea vitu kwa hisia na hasira bila kujuwa ukweli wenyewe. Waarab na Wayahudi au tuseme watu wa ule ukanda uvaa kanzu kama nguo yao ya jadi. Sema tu wasiojuwa ukweli wanadandia na kusema kanzu ni nguo ya kiislam wakati si kweli.
Mbona imetahadharishwa kusiwe na matusi lakini naona waislamu wanatikana wakristo?
Au muislamu.akitukana si mbaya?
mtavaa kanzu mwaka huu mpaka mshike adabu zenu mkitaka mistake.dunia inakukaneni hamna hata pakujificha.mara hawajui vazi la kanzu mara wayahudi wanaava kanzu mara hivi na vile,historia tunaijua vizuri ya kanzu sasa wewe usiyeijua ndo unandandia ndandia. vaa kanzu babaaa suti hakufai wewe.
vaa kanzu kabla mwisho wa dunia hajaishaa.
Post a Comment