Saturday, December 6, 2014

JHIKOMAN & AFRIKABISA BAND KUTINGISHA JIJI LA DAR SIKU 12.12.2014

Mfalme wa mziki wa Reggae barani Afrika Jhikoman mwenye makao yake mijini Bagamoyo,aiongoza bendi yake Afrikabisa katika shamra shamra za sherehe
za kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika.Onyesho hilo linawashirikisha
wasanii wengi litafanyika.

Mahali; Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni,mkabala na chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Barabara ya Samora, mtaa wa Shaabani Robert kati ya Jiji la Dar-Es-Salaam.


No comments: