Advertisements

Monday, December 15, 2014

MAENDELEO YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KESHO KWENDA MBEYA KWA MAZISHI.

Mwili wa  marehemu,   Bi. Twitikege Mlagha Mafumu utaagwa kesho saa 4 asubuhi katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke kisha kupelekwa katika Kijiji cha Kibumbe, wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambapo atazikwa Desemba 17 alasiri.
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Kikundi cha kusaidiana cha Tupendane Pugu Kajungeni wakiwa katika msiba wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu Jijini Dar
 Ndugu Jamaa na Marafiki wakiwa katika Maombolezo ya Msiba wa Mama yao Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Jijini Dar es salaam
 Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa katika Msiba
 Baadhi ya Skauti wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Msiba wa Mama Mzazi wa Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi Shughuli za Vijana Taifa
 Meneja Mkuu  wa Global Publishers Limited Bwana. Abdalah Mrisho akitoa mkono wa pole kwa  Dada mkubwa wa kina Mwaibale Mwalimu Mary Anyitike

Mwanahabari Kulwa Mwaibale (mwenye Fulana nyekundu) akiwatambulisha wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Global Publisher kwa wanafamilia.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Jambo Leo wakiwa wamefika kuhani msiba wa Mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale

No comments: