Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea iliyoko mjini Lindi wakati alipotembelea tawini hapo kwa ajili ya kikao na viongozi wa kata hiyo juu ya ushiriki wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vjiji na vitongoji unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.
Viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea pamoja na wagombea uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wakiwa katika kikao na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mama Salma Kikwete (hayupo pichani)
Mjumbe wa NEC Taifa wa CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika shamrashamra na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea muda mfupi kabla ya kuzungumza na viongozi hao tarehe 6.12.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea na wagombea wa chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.
Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Mingoyo pamoja na wagombea uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 14.12.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akimjulia hali mtoto mdogo aliyebebwa na mama yake wakati Mama Salma akiingia kwenye sehemu ya mkutano wa kampeni katika Kata ya Mingoyo huko Lindi tarehe 6.12.2014.
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014

PICHA NA JOHN LUKUWI.
No comments:
Post a Comment