MBATIA AWANADI WAGOMBEA WA CHAMA NCCR-MAGEUZI KATIKA JIMBO LA VUNJO
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akimtambulisha mwenyekiti wa kitongoji cha Pangara ,Humphrey Machange aliyepita bila kupingwa katika kitongoji hicho kwa tiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi.
Mh Mbatia akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Maring'a.
Wagombea wa nafasi ya Wajumbe wa Halmashauri wakiwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho uliofanyika katika kijiji cha Maring'a.
Wananchi katika Jimbo la Vunjo wakiwa wamembeba ,Mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbatia aliyefika jimbooni humo na kufanya mikutano katika vijiji mbalimbali kuwanadi wagombea wa chama hicho na wale wanaotokana na UKAWA .
No comments:
Post a Comment