Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.

Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi akimuonesha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baadhi ya vitambaa vya kisasa vya suti ambavyo vitatuka Kumtengenezea Waziri Mkuu jana jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia na kuchagua aina ya vitambaa vya suti amabvyo vitatumika kutengenza baadhi ya Suti Zake alipotembelewa na Mbunifu wa Kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi jana jijini Dar es Salaam.Picha Zote: Atuza Nkurlu-Sheria Ngowi Brand
4 comments:
Escrow nyingine hiyooooo!!'
Hela Za escrow ndio zinatumiwa kununua suti sasa, Nataka hela yangu na mimi..
fedha za Escrow zinafanya kazi
Mheshimiwa waziri Mkuu, hebu kwanza tuambie mna mpango gani wa hili sakata uchunguzi wa nini wakati kila kitu kimeanikwa bungeni na wamekubali wa nini usianze wewe kungatuka na wao wakafuata haraka imasavyo kulinda heshima ya TANZANIA na fedha yetu!! Tunaumia saana kuona mnakula kiulaini wakati wengine tunaumia kwa jasho la damu!! is not fare!!
Post a Comment