Mtanzania mwenzetu Darmatus Nambai anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi kilichotokea leo Tanzania. Kama ilivyo ada na desturi kupeana pole ndio ustaarabu wetu ukipata wasaa mpitie mfiwa ndugu yetu, kaka yetu mwanaDMV mwenzetu Nambai kuumpa pole na kumfariji katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na mpendwa mama yake mzazi.
DMV msiba upo
4717 Eiderdown Ct,
Owings Mills, MD 21117
Kwa taarifa zaidi na maelekezo piga simu
Nambai 301 523 1378
Rehema 202 904 5029
home 410 363 0871
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihmidiwe.
No comments:
Post a Comment