Maofisa wa Polisi na Magereza wakiangalia mwili wa mtu aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya dawa za kulevya na kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam saa 2:00 asubuhi ya leo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinapasha kuwa mwili wa marehemu huyo ambaye bado jina lake halijatambulika umepelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Muhimbili. Picha kwa hisani ya Father Kidevu.

4 comments:
This is so so unacceptable kwa polisi kuua ati kwasababu mtuhumiwa anatoroka. You police need better training on how to deal with such situations na siyo just to end one's life so recklessly like that..... Aliyemshoot lazy a achukuliwe hatua kwakweli. Can not believe value ya maisha tz imeshuka kiasi hiki.... Sad very sad
Jamani hii si haki kabisa huyu kijana hakuwa ni threat kwa mtu yeyote,hakuwa na silaha labda tungesema atakimbia na kuua watu,na pia kulikuwa na namna nyingi za kumkamata ,kumuua haikuwa option hapa.Nafikiri wakati mwingine polisi wanafurahia kutumia risasi zao pasipo sababu.Katika hili hatua zichukuliwe watu wanaosimamia haki za binadamu waliangalie hili.Huyu kijana hakutendewa haki.
Haki ifwatwe hapa ila kwa Tz watu watakaa kimya na litapita hili . Pls watz amkeni hii sio haki kbs. Sheria mkononi mwa watu wachache ukiuliza kiongozi au askari . No tumechoka hatukubali
akili ndogo inashinda akili kubwa ndo utawala wa ccm huo. wauza unga mapapa wakubwa wafanya biashara na wachota pesa za iptl,escrow wanatamba tu humu mfugwa masiki ya mungu kapigwa risasi kwisha kazi mijizi mikubwa mikubwa na mifisadi inatamba mitaani tu.
no wonder walipitisha ile katiba yao kwamba washitakiwe wakuu wa nchi wanapo maliza muda wao wachote mipesa tuu na kustarehe na familia zao.
Post a Comment