ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 10, 2014

PICHA YA LEO

Watoto wakicheza pool kwa kutumia beza waliyotengeneza wenyewe na kwa kutumia vigoroli watoto kama hawa ukiwatoa hapa na kuwaweka kwenye meza ya ukweli utajikuta unapigwa brush mwanzo mwisho live bila kingamuzi cha Azam.

No comments: