ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 8, 2014

PINDA APOKEA MABEHEWA MAPYA YA TRL LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa hayo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014.

5 comments:

Anonymous said...

waziri pinda anapindisha kila kitu,,anatamani hili jiko apeleke kwake

Anonymous said...

mtoto wa mkulima kazi kweli ipo si mchezo

Anonymous said...

MABEHEWA YALIYONUNULIWA KWA PESA ZA SERIKALI???? KUMBE SERIKALI INASUBIRI MISAADA SIKU ZOTE, NAONA WAMEJIKAMUA SAFARI HII....ILA MABEHEWA YENYEWE NAONA NI STYLE YA INDIA.MNATAKIWA SERIKALI MUWE NA VISION YA MIAKA 50 IJAYO KULIKO KUNUNUA VITU AMBAVYO FASHION YAKE ITAISHA KARIBUNI.

Anonymous said...

Pesa za Escrow vipi jamani???mbona mnatuyeyushaaaa

Anonymous said...

huyu Pinda bado unsjisogeza mbele mbele, Si anatakiwa a step down!!