ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 2, 2014

SHILOLE SHISHI BABY ALIPOFANYA KWELI UBELGIJI

 Shishi Baby akifanya mambo yake huku mashabiki wakiwa na midadi
 Msanii Shilole akiburudika vyema na dada yetu aliyekuja toka Norway kujumuika nasi katika kupata burudani ya Shishi Beibii
 Wachaa weeee
 Msanii Shilole akipata kumbukumbu ya picha
 Shilole akiwa na Balozi wa Madagasca nchini Belgium
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Dada Rose akiwa na Shilole
 Shilole aliombwa saini na balozi wa Madagasca[Mnyamwezi umetishaaaaa] wakakutangazeeee
New artist Max at work
Dili ikienda sawa Shilole kula donge nono,,,lini,wapi na saa ngapi Mungu ndio mjuzi,,,kaa mkao wa kula

No comments: