ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 14, 2014

KISOMO CHA HITMA JUMAPILI DMV

Tujumuike na Yasin Randi (wa kijiwe cha ughaibuni) kwenye kisomo cha hitma ya mama yake mpendwa Zainabu Mussa siku ya Jumapili Desemba 14, 2014 kuanzia saa 8 mchana Marehemu alifikwa na mauti Tanzania Desemaba 8, 2014 nyumbani kwake Mbagala na maziko yalifanyika Jumanne Desemba 9, 2014 katika makaburi ya Mbagala.



Kisomo cha hitma kitafanyika nyumbani kwa mfiwa DMV  anuani ni 2608 Kirkwood Pl Apt # 201, Hyattsville MD 20782 kufika kwako ndio kufanikisha kisomo hiki.


Kwa taarifa zaidi na maelekezo tafadhali piga simu 
Dada Salma  namba ni 301 401 1547 
 Yasin land 202 431 8262

2 comments:

Anonymous said...

inna lillahi waina illahim rajiun pole sana yasin pole sana Allah amuweka mahali pema peponi amin.

mimi nilikuwa shabiki wako mkubwa kwenye kijiwe cha ughaibuni,i used to enjoy watching you and the chocolate boy nimemsahau jina lake kidogo,ooh benja.

pole sana yasin ndo kazi ya mungu haina makosa.

salaam kutoka NY

Anonymous said...

M mungu ailaze roho ya marehem pema peponi!m mungu awape imani wafiwa
pole sna jamani wish ningekuwepo huko tuje kukufariji! Mimi ni moenzi sn wa kijiwe

Mdau
kijiwe oyeoye