UKIMWI OPHANS yawakaribisha kwenye Fundraising Jumamosi hii
NB: Mnakaribishwa pia kwenye shughuli pamoja na watoto wetu. Watoto wanakaribishwa na hawalipi. Kwa hiyo walete watoto washiriki kama tangazo hilo linavyoeleza
7 comments:
Anonymous
said...
HILI JINA LA UKIMWI ORPHANS SIO SAHIHI HATA KIDOGO.........SHOULD HAVE BEEN PERSONAL.....SIO KILA MTU AJUE HAWA ORPHANS WA NINI....IS KIND OF UNYANYAPAA NA INAELEKEA WAKO MONEY/FUNDS ORIENTED NA SIO KUSAIDIA WATU KWANI SIKU HIZI NI BUSINESS .....WAMENIUDHI SANA
kwanza hakuna ukimwi fanyeni research mtaona kuna ebola siku hizi inauwa hapo hapo haina mchezo ukimwi ni cha mtoto. Halafu wacheni tu waatuhadithia habari za hii funds ni aje? kwa kirefu.washkaji wenzangu hapo juu msiwe na jazba hivyo tuwaache watuhadithia kwa urefu issue hii ya funds okay.take it easy.
Halafu kwa nini hii misaada inakwenda sehemu moja? Tena ambapo hao wamiliki wa NGO wanatoka??? TOO MUCH FOR BUKOBA. CAN WE TAKE TO LINDI, NACHINGWEA, KIGOMA OR MTWARA?? Mbona hii mikoa imesahaulika? At least saidia kwako na tafuta kwingine pia.
WADAU na wapenda umoja haya mambo ya kufanya fundraising kwa kujinufaisha sidhani kama ni sahihi! kama kweli kuna tatizo Jumuiya ipo ihusishwe ili michango inayopatikana iweze kupangiliwa sidhani kama BUKOBA pekee ndio ina tatizo na pia hili jina linalotumika sio sahihi ina maana ukimwi umetawala kwanini tusilipe jina la kuufuta ukimwi bora hata ungesema BORESHA MAISHA!!...Tusidanganyane. Kama kweli kuna tatizo hili RUGEMALILA NA TIBAIJUKA wanauwezo wa kuliondoa hili tena ni vijisenti tu! don"t be lies!!
Asante tunakuja lakini mtuambie waheshimiwa Waziri Anna Tibaijuka na Mheshimiwa RUGEMALILA wametoa ngapi mbona kwao ni hela kiduuuchu tu kujenga hivyo choo!! kwani wao hawakuliona hilo! tusijidhalilishe! je tukikuchaniga $ 2,500. ukilipa hapo tax na kikundi kigawane hapo $ 200. kila mmoja je zitafika ngapi na bado walioko kule wanataka kunywa kula kuweka mafuta kwa gari! nakadhalika !! nafikiri wana-Bukoba 20 walioko hapa wakijitolea wanaweza!! Escrow mchezo!!
7 comments:
HILI JINA LA UKIMWI ORPHANS SIO SAHIHI HATA KIDOGO.........SHOULD HAVE BEEN PERSONAL.....SIO KILA MTU AJUE HAWA ORPHANS WA NINI....IS KIND OF UNYANYAPAA NA INAELEKEA WAKO MONEY/FUNDS ORIENTED NA SIO KUSAIDIA WATU KWANI SIKU HIZI NI BUSINESS .....WAMENIUDHI SANA
Mnaweza kubadili hili jina la hii asasi?
Yaani hao ma annon hapo juu mmeongea vizuri. Jina halifai kabisa.
kwanza hakuna ukimwi fanyeni research mtaona kuna ebola siku hizi inauwa hapo hapo haina mchezo ukimwi ni cha mtoto.
Halafu wacheni tu waatuhadithia habari za hii funds ni aje? kwa kirefu.washkaji wenzangu hapo juu msiwe na jazba hivyo tuwaache watuhadithia kwa urefu issue hii ya funds okay.take it easy.

Post a Comment