ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 31, 2014

WADAU WAANZA KUWASILI SHEREHE YA FUNGA MWAKA DMV SASA WATOTO CHINI YA MIAKA 18 HAWATALIPA KIINGILIO

MWANACHAMA HAI KUPATA VINYWAJI  2 BURE

 Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Nyang'anyi wakimpa kampani mgeni wao Mhe. Kadari Singo mwakilishi wa Diaspora Bubge la katiba atayezungumuza na Watanzania leo kuhusiana na Bunge hilo na yeye pekee ndieye atakayekuwa na kipindi cha maswali na majibu katika kuhitimisha sherehe ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2015 itakayofanyikia ukumbi wa Oxford uliopo Lanham kuanzia saa 1 usiku (7pm) leo Desemba 31, 2014.
  Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Nyang'anyi wakipata mulo wa jioni pamoja na Kadari Singo mwakilishi wa Diaspora Bunge la katiba katika mgahawa wa Swahili uliopo Beltsville, Maryland jioni ya Desemba 30, 2014.
 Mwakilishi wa Diaspora Bunge la katiba katika picha.
 Salma mwana DMV akiwa na Baba mwenye nyumba wake na mtoto pamoja na wageni wao kutoka Atlanta wakiwa Swahili wakipata Mulo wa jioni kama walivyokutwa na kamera ya pita pita ya Vijimambo.
 Salma wakipata picha na mgeni wao.

No comments: