Advertisements

Friday, December 12, 2014

WATU 30 WAUAWA NIGERIA


Waokoaji na wakazi wakikutana katika eneo la tukio la mlipuko wa bomu katika soko katikati ya mji wa Jos
Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.

Milipuko hiyo imetokea wakati kukiwa na mkusanyiko mkubwa Tkatika eneo la soko karibu na mahala ambapo mwezi mei mwaka huu palitoekaa mli[puko pia.

Mji wa Jos unamchanganyikowa wa Waislam na Wakristo kwa kiasi kikubwa na hivi karibu kundi la Boko Haram walivamia na kushambulia kanisa na msikiti katika mji huo.

Hata hivyo kwa tukio hili hakuna kundi la kigaidi lililokiri kuhusiaka.

Jumatano wiki hii pia watu wanne waliliripotiwa kuuawa katika bomu la kujitoa mhanga huko Kano,lakini mwezi uliopita zaidi ya watu 100 waliuawa kwa kupigwa risasi katika moja ya Misikitiki mikubwa ya mji huo.Credit:BBC

No comments: