Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi aya madiwani wa Loliondo juzi alipokwenda kujadiliana nao kuhusu mgogoro wa ardhi katika maeneo hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiw ana mkuu wa wilaya ya Loliondo EliasLala lawai alipowasili katika ueanja wa ndege wa Waso, Loliondo kwa ajili ya mazungumzo na n=madiwani kuhusu mgogoro wa aerdhi uliodumu kwa miongo
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Raphael ong'oi akizungumza wakati ea kikao na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujaduli mgogoro wa ardhi Loliondo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na madiwani wa Ngorongoro juzi wakati alipokutana nao ili kujadili jinsi ya kumaiza mgogoro wa ardhi Loliondo.
No comments:
Post a Comment