Advertisements

Sunday, December 28, 2014

YANGA NA AZAM NI SHIIIIIIIIIDA WATOSHANA NGUVU 2 KWA 2 TAIFA LEO

Hamis Tambwe aanza Yanga kwa bao moja leo taifa hapa Tambwe akiisawazishia timu ya Yanga bao katika dk ya 7 baana ya Kavumbaga kuwafunga Yanga bao katika dk ya 5 ya kipindi cha kwanza.
Msuva na Tamwe ndiyo walikuwa mashujaa watimu ya Yanga taifa hapa wakichangilia kwa pamoja .
Hapa wachezaji wa Azam wakishangilia baada ya kusawazisha bao la pili baada ya kuwa njuma kwa bao 2 kwa moja, Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kwa timu zote lakini Azam ndiyo walikamia zaidi kutaka kulipiza kisasi cha kufungwa goli 3 na Yanga kwenye mchezo wa ngao ya hisani.
Picha kwa hisani ya Michuzi Jr.

No comments: