Urafiki wa Jaguar na Iyanya mpaka kufanay Rmx ya "one centimeter" umeisha ndani ya muda mfupi.
Wakati akipokea Tuzo ya video bora ya mwaka ya Bingwa Awards ,Jaguar alifunguka kuwa Iyanya alimpa masharti kama anataka kufanya video ya wimbo huo basi ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na watumie waongozaji wa video wa Naija kama clarence peter au Moe Musa,Jaguar anadai aliamua kwenda Naija na Muongozaji wake lakini Iyanya alitaka kugoma lakini baada e alibadilisha mawazo.
Baada ya video kutoka alimtumia Iyanya ili aisambaze kwenye vituo vya Televisheni vya Nigeria lakini aliona kimya, alipoa mua kuumuliza mtu mwingine wa Nigeria alimwambia vituo vya Naija haviwezi kupiga video nyingine zaidi za wasanii wa Nchini humo.
Iyanya alisisitiza kuwa hawezi kupokea simu ya Iyanya hata akimpigia muda huo na kuwaasa waKenya kuunga Mziki wa nchini humo.

No comments:
Post a Comment