Hii ndiyo mara ya mwisho kuonekana kama couples Lupita na K'naan ilikuwa Nov 2014 walivyopigwa picha hii wakitoka dina New York City, nyatu nyatu zinasema Lupita kashamtema K'naan na sasa yupo na Jared Leto.
Jared Leto akiwa zero distance mkono kiunoni mwa Lupita kwenye award za SAG zilizofanyika jumapili na Lupita kupa moja za award hizo. |
Habari ndiyo hiyo K'naan abakie kuwa mpole tu kiroho safi Jared Leto full kicheko.
FULL STORY HAPA.http://www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-2926867/Lupita-Nyong-o-broke-rapper-K-naan-year-s-revealed-got-cozy-Jared-Leto-SAG-Awards-party.html
FULL STORY HAPA.http://www.dailymail.co.uk/tvshowbiz/article-2926867/Lupita-Nyong-o-broke-rapper-K-naan-year-s-revealed-got-cozy-Jared-Leto-SAG-Awards-party.html
1 comment:
tamaa mbaya nyiyeee.unamuacha mwenzako kisa ummarufu na pesa.mmm.
kazi ipo kweli kweli kwa akina midada
Post a Comment