
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina walikuwa na mkutano wa “Strategic Leadership Meeting” uliofanyika jumamosi January 17, 2015. Mkutano ulidhaminiwa na Mount Eagle University na ulifanyika Winston-Salem ,
(Pictures na Lucas Mmanywa) Kwa habari zaidi za Jumuiya ya Watanzania North Carolina Tembelea Tovuti yao utnc.org/blog
No comments:
Post a Comment