MZUNGU ALIETEMBELEA TANZANIA NA KUFANYA SAFARI NDANI YA MBUGA ZA WANYAMA ALONGA
Hapa akiongea kupitia camera ya Dr Temba, juu ya kilicho mvutia nchini Tanzania kwenye hiyo safari yake ya kutembelea mbuga za wanya. Jitiririshe na endelea kujivunia Utanzania wako kiroho safi. Kwa picha zaidi nenda hapa...http://tembaphoto.com/
No comments:
Post a Comment