ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 8, 2015

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Balozi wa Syria


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Maadhi Juma Maalimu (Mb) akimkaribisha Balozi wa Syria Nchini Mhe. Abdulmonem Annan, alipokuja kumtembelea na kumweleza kuhusu hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Syria 
Balozi Abdulmonem Annan akizungumza na Mhe. Maadhi Juma Maalim 
Mazungumzo yakiendelea. 
Picha na Reginald Philip 

No comments: