Hapa ni Radio Cty New York jiji jeupe kila mtu ndani theluji iliyoambatana na upepo ilizima mbio mbio zote za sifa ya jiji la wasiyo lala mbona kila mtu alilala bila kupenda chezea mother nature wewe.
5 Avenue barabara nyeupe kama siyo New York vile
Hali ilikuwa mbaya sana na kusababisha shughuli nyingi kusimama nje na ndani
Jamaa akijaribu kupita huku na kule kuona kama atapata kakibarua ka kuzoa theluji vibarazani kwa watu
No comments:
Post a Comment