MAKAMU Mwenyekiti wa CUF taifa Mhe: Juma Duni Haji (katikati) akiwa amenyanyua mikono kuomba dua, kwenye hitma ya kuwaombea dua wanachama wa chama cha CUF, waliotangulia mbele ya haki mwaka 2001 katika maandamano yaliyofanyika Pemba ya kudai uchaguzi urudiwe. Dua hio iliohudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa wa chama hicho, ilifanyika jana mskikiti wa Ijumaa Chachani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment