Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour Mohamed akikata utepe kama ishara ya kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Bi Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto) yaliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kuchukulia abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume yenye thamnai ya shilingi za Kitanzania MIa Tatu na Ishirini Millioni,(kulia) Mkurugenzi Masoko wa PBZ Seif Suleiman. Miongoni mwa Mabasi yaliyotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) likiwa tayari limeanza kazi kazi ya kubeba abiria wanaokwenda kupanda ndege katika Kiwanja cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Kama inavyoonekana Pichani.[Na Mpiga Picha Maalum.]
No comments:
Post a Comment