Advertisements

Wednesday, January 21, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA DMV

Pita pita ya vijimambo ndani ya DMV theruji inavyosumba kwa ma dereva wakiwa kwenye harakati za kujitafutia mkate wa kila simu.
Ukiwa bongo magari unasa kwenye matope lakini unyamwezini theruji ndiyo tope lenyewe hapa mtu amesha kaa na nje ni baridi shida juu ya shida unyamwezini raha na karaha zake ndo hizi nyakati za theruji aka winter time.

No comments: