ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 1, 2015

RAIS KIKWETE ASHEREHEKEA MWAKA MPYA KIJIJINI MSOGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhewa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii yawamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge waChalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

hivi ndo inavyotakiwa kushika dini na kukaribisha mwaka kwa dini yako kama wenzako wanavyofanya.

mungu akusadiye kumaliza salaam uongozi wako