ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 14, 2015

Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. Bwana Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto Guebuza anayemaliza muda wake.
(Picha na Freddy Maro)

No comments: